2 Samuel 12:24

24 aNdipo Daudi akamfariji Bathsheba mkewe, akaingia kwake akakutana naye kimwili. Akazaa mwana, wakamwita jina lake Sulemani. Bwana alimpenda Sulemani.
Copyright information for SwhKC